Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kujua kuhusu fangasi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 219
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nliotumia vitunguu swaum lkn Mar baad ya kukutan na mwenza wangu naon majimaji ya rangi km njano kuelekea kahawia yamekuwa yakitok mengi ad naogop lkn ilikuwa n siku ya htr
Habari naomba unisaidie mm niliingia period trh 25 mwez wa kwanza nkamalza thr 31 nikasex na mume wang trh 11 sasa huu mwez wa pili cjaingia period nashindwa kuelewa naomba unisaidie
Mie sijapima Kama Nina mimba lakini nina week moja sasa sipo kawaida nikiamka asubuhi najisikia Kama kichefuchefu lakini sitapiki nahisi natumbo Kama linajaa gas
Samahan mi nna vidonda vya tumbo nimesha tumia dawa ila nikipata nafuu kwa mda vinarudi tena kama mwanzo
Niliingia hedhi kwa mwez mara mbili ndipo nilipenda kupiga utra sounds nikapewa dawa za wk 2 akasema hayo maji yanasababishwa na PID sasa dawa zimeisha leo bado anasema mayai yapo vzr ila kuna maji
Na hajanipa dawa kasema nikae baada ya wk 3 niende tena
Shinikizo la damu ni nini?