Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni vyakula gani vinasaidia kuongeza madini mwilini?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 724
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani mimi nataka kujua aina zavidonda vya tumbo
Nina swali mutu kuwa na mate machungu ndani ya miezi 6 ni dalil yq ukimwi?
Hello nina swali? Na kwa mwanaume kuumwa na tumbo na kukosa hamu ya kula chakula baada ya tendo nini tatizo? Vyakula vya mafuta harufu yake inakufanya unatapika.
Habari napenda kuuliza jinsi ya kutengeneza mafuta ya zaituni na faida ya kula matunda yake
Ila nasikia maumivu ya kichwa mara kwa mara
Samahan I doctor mm nilikuwa na mimba ila ilivuja haikutoka je ilikuwa na wiki3 je inatakiwa nikae mda gani nipone au inatakiwa nipime mda gani