Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nikiswalia nyumbani swala zote ni sawa tofauti ijumaa
Mwanaume akiswalia nyumbani hapati ujira sawa na yule wa msikitini. Hata hivyo ukiswalia nyumbani swala inakubaliwa
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
Hivi ktk uislam inaruhusiwa kumuoa mtu niliyemtia mimba ikiwa bado hajajifungua?
Kuna maeneo mengi sana ambayo yanadhihirisha kuwepo kwa mwenyezi mungu .Chambua kwa mifano maeneo matano 5(tu)
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuhu, mimi nimemuachia mke wangu zakatul fitri aigawe ,bahati mbaya mlengwa katafutwa zaidi ya mara mbili hakupatikana ,kaja kupatikana baada ya swala ya iddy, nini hukumu ya hiyo zaka?
Mm nataka nifahamishe jinsi ya kusali kuanzia rakaa ya mwanzo mpaka kumalizika
Dokta habari ya leo samahani mpenzi wangu limemsumbua sana tumbo kama siku 4 ama5 hivi, na nilivyo angalia tumbo lake nimeona mchilizi mweusi umetoka kwenye kitovu je hii nayo inaweza kuwa dalili ya mimba?
Swallat tahajjud ina rakaa ngapi?