Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nilisilim napenda Sana dini ya Islam lakini sijui hata pakuanzia
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 409
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahn,,ati ni mwaka wa ngapi ilifaradishwa funga?
Kuna miezi mingapi ya kunuwia hijja
Naitwa mustapha nipo songea, je quraan inapaswa kusomwa nyakat gan
Je kwan maiti ya mtoto ambaye hajabarehe wakike ukimxhonea sanda kama ya mwanamke aliye barehe ni vibaya?
Nilikuwa nahitaji mafundisho zaidi kwenye suala la kuswali na dua zake ili niweze kuswali kikamilifu na kusimamisha swala bila kumkwaza allah
Mume kampa talaka mkewe baada ya siku mbili tatu mume kamuhitaji mtalaka wake na wakakutana wakafanya yao, lakini hajamtamkia kama kamrejea, je hapa atakua kashamrejea au amezini nae?*