Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nina tatizo LA kusahau mm niwakiume
Tatizo la kusahau, tumia
1. Karanga
2. Samaki
2. Machungwa
3. Mbegu za mboga
4. Pilipili
5. Kahawa
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm nmgonjwa wa fangasii za mdomoo na hii naamini kua nmepata kutokana na kutumia anti biotic kwa mda wa miezii miwilii ivo naisii kabsaa njia moja wapo ivo basii nmejalbuu kutumia dawa naona aviponii hii ya kupaka micor oral gel so nfanyajee
Natokwa na majimaji ukeni masafi hayana harufu yeyote lakin Kuna mda yanaweza yakatoka mengi kidogo kiasi Cha kulowesha chupi mpaka taiti
Ni tatizo Gani hili? Kwa sasa ni siku ya nne tangia nilione tatizo hili na lilianza mara tu baada ya kukutana kimwili na mwanaume
Nauliza hivi umefanya mapendi na msichani Bada ya miezi mitatu upo negative miezi Tano au SITA bado upo saw negative inakuaje hapo
Samahan nilikuwa naomba kuulizia,utando mweupe mdomoni kwenye mashavu, inasababishwa na mini?
nimetembea na mtu mwenye ukimwi zaidi ya mara 15,,, afu nigundua karbuni ,,,nishatembea nae,, mwishoe nimejikuta kunavipele yamenipata vidogovidogo vimejikusanya kama vile niugua na moto vinatoa maji je inaweza kuwa ndo dalili ya kuwa nimeambukizwa
Nina majimaji yanatoka kwa wingi yaan naweza badilisha chipi hata Mara 3 kwa siku alafu yakitoka yanaganda kwenye chupi hiyo Ni Hali ya kawaida harufu yake ipo Ila sio mbaya kivile. Je ni nini tatizo