Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninammba ila damu inatoka unanisaidiej
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1067
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kama unaumwa joint za miguu, kiuno na unakojoa mara kwa mara na kichwa kuum sana utaweza kupona
Doctor habari, samahani Mie Kuna kitu kimeniahtua sijui ninttizo au maumbile sielew, kwenye uke wangu sehemu ya kinembe sijui ndo kinena Kuna kinyama kimetoka yaan Kama kimegawanyika katikati alafu upande mmoja wa kushoto ndo Kama umetoka kinyama Sasa sielew Nini nini
Je vitameni E vinaweza kusaidia mwanaume asiyezalisha akaweza kuzalisha?
Sawa doctor kama shida ni homon nini kifanyike na Umri wangu ni 45 sasa nahitaji mtoto pia
Je dalili za vidonda vya tumbo sugu ni zipi
Mtoto wangu nilimzaa akiwa na low birth weight na huku akawa na tundu kwenye moyo na mshipa unaosambaza damu safi uko intact sasa nimekua na hofu kidogo sababu kaumbo Jake ni kadogo viguu vyembamba na vimikono nikawa na wasiwasi