Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nmefanya mapenzi siku salama lakini mpaka sasa sioni siku zangu nn shida
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 585
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi swali langu kuu ni mapigo ya moyoo wangu yanaendaa kasii kwel shidaa itakuwa ni nin
Na piah mdaa huo huo mwili huishaa nguvuu na kizungu zunguu
Niko na shida nikimaliza sector ya mapenzi na mkee wangu kuna unyevunyevu kwa sehemu yangu ya Siri na mwashowasho kiasi ndani ndani inaweza kua ni shida gani
Nina miaka ishirin na nne na nijinsia ya kike, nilikuwa na swali kuwa nitatumia dawa ipi kuzuia fangasi ambayo imeleta vidonda ndan ya uke? Maana nikijisafisha naona had damu
Me nataka kujua wakati wa kutoa shahada unatamka maneno gani
Samahani mimi ni msichana wa umri miaka 21 mmoja wapo ninae sumbuliwa na maumivu hayo makali chini ya kitovu upande wa kushoto na wakati mwingine hupelekea maumivu hayo kwenye mguu upande huo nilikuwa na hitaji maelekezo zaidi kuhusu maumivu hayo na jinsi ya kuyatibia
Habar naomba kuuliza kuharisha kwa zaid ya wiki mbili lakini kwa muda maalum ni dalili ya ugonjwa gani