Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Pilipili hutowa ujauzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 881
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Swali langu, ipi Sababu ya mwanamke kuchanganywa na siku yake ya period eg, maalum Ni tareh 23 Kila mwezi ,utaona inamshusha 18, Mara 22 kupanda Tena 26 , naomba kujua doctor
Naumwaa tumbo Leo siku ya nne na mdomo ni mchungu na mkojo wa njano je inaweza kuwa dalili ya mimba
Je kuna athari gani endapo muhusika amefariki na watu wakawa hawakurith mali hiyo, na je hakuna tabu yoyote inayompata maiti huyo huko alipo? Naomba ufafanuzi wako, ahsante.
Mimi ni Virgin (bikra) kila ninapojarib kufny mapenz ili kutoa virgin inashindikan huwa nasikia maumiv makal mpk naogopa na nina kuwa na hofu na sna uteute yaan uke wang ni mkavu
Mm ni binti mwenye miaka 20 mara ya mwisho kupata hedhi ilikuwa tereh 5/2 ila mpka leo tareh 8 cjaon chcht na leo asubuh nmepima upt ni negative naomba ushaur jaman cjui nifany nn
Mpenzi wanguu alimeza dawa ya kuzuia mimba mara mbili na akatokwa na damu kidogo ikawacha na kwa sasa amepima mimba mara mbili na inaonyesha kuwa hana ujauzito ila leo kaniambia anaskia kuchefukwa na roho je inaweza kuwa ni tatizo gani ama ana ujauzitoo???