Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahan mi naomba unifundishe ukisha jifungua unaoga je?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 53
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hbr samahi maumivu ya misuli kukazaa, kuuma sehemu ya chin ya tumbo na kiuno itakuwa shida gan hiyo
Tarehe 25 mwezi uliopita hedhi yangu ilianza na siku ya tatu nikafanya tendo LA ndoa sasa inaeza kua nilipata ujauzito hau LA kwa sababu naumwa na mgongo na pia matiti zinauma na matiti zenyewe zimebadilika , sasa Jana nikaenda hoc nikapimwa nikaambiwa Sina ujauzito ,sasa tafadhali naomba mnisaidie
Ninashid ya kuumwa na tumbo upand wa Julia Kwa chin tatiz ni nin
Nauliza vidonda vya tumbo vinatibika?
Nilikuwa nataka kujua nilazima kumeza dawa bila kupitisha muda au ukichelewa kutakuwa na shida
Je kwa wiki ya Kwanzaa na ya pili ya ujauzito ni lazma kutokwa na majimaji au ute uken na je implantation bleeding ni lazima? Na inatokea kipind cha mda gani cha ujauzito