Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahn,,ati ni mwaka wa ngapi ilifaradishwa funga?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 842
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalam alaykum shekhe naomba kuuliza ikiwa mke amefariki amewacha mume tu na Hana ndugu Wala watoto wa kumrithi ni mume tu je mume anapata nusu ile ile au anarithi Mali yote?
samahani mimi nilikuwa mkirst nimeslm kuwa muisalm nimeolewa je nahitaji kujuwa kila swal inalaaka ngap samahani
Naomba kuuliza taratibu za kupata cheti cha ndoa. Ndoa ya kiislam imefungwa na shekhe, kwa kawaida taratibu za kupata cheti cha ndoa baada ya ndoa kufungwa zikoje / kinapatikanaje? Na ni Baada ya muda gani?
Unatoa maoni gani iwapo wanaojua watakuwa sawa na wasiojua kiutendaji
Asalamu aleikumu ni halali kuridhiwa na mtoto wa nje ya ndoa? Na hakizake ni zipi ?
Ni ipi Tofuti kati ya kusimamisha swala na kuswali