Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Saratani ya matiti inaweza kuzuiwa?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari naomba unisaidie mm niliingia period trh 25 mwez wa kwanza nkamalza thr 31 nikasex na mume wang trh 11 sasa huu mwez wa pili cjaingia period nashindwa kuelewa naomba unisaidie
hello habr naitaji kitabu cha ukombozi wa fikra
Alafu hiv nikweli tende inaongeza nguvu za kiume na je kama inaongeza how it's Function, please Doctor may help me
Kwaiyo milija ya uzaz ukiwa umeziba unatibiwa vip unapatiwa daw amaa
Habari namsaidiaje MTU aliepatwa na gesi shimoni au kwa lugha nyingine MTU aliepatwa na mgandamizo wa hewa chafu underground MTU kama huyo namsaidiaje
Kaka yangu ikifika mchana yaani saa sita anaanza kuona kizunguzungu ana kaa chini au sehemu ya kivuli ndoo inapoa sasa nini matibabu yake