Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Side effects za kula ukwaju ni zipi..?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 518
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
kuna ukweli gani kuwa mtu mwenye damu yenye wesi sana anaweza kuwa na maambukizi ya VVU?
Naomba kuuliza mfano umeng'atwa na muathirika wa ukimwi amabae anatumia dawa je nawe anaweza kukuambukiza
kusinya kwa korodani moja pamoja na kuwa na maumivu nako tezi dume?
Nauliza docter katika matunda haya yote pamoja na mbegu sijaona binzari manjano pamoja na mbegu za mastaferi kaziyake na mbegu za ukwaju ahsante sana docter kwa darasa lako mwenyezimungu atawalipa
Mm naumwa na tumbo side ya left chini kabisa Yani kunadundadunda mpka sometimes nasikia maumivu halafu nakojoa kila mara
Habar docta samahani eti kwa mfano mtu akiwa yupo kwenye dawa ya pep ya kuzuia maambukizi ya ukimwi ata ikitokea amejichoma tena kwenye mazingira atarishi pia inazuia kwasabu unakua ushameza dawa na zipo anaendelea kumeza.