Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Suali langu kwanini mwanamke anatolewa mahari?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 517
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalam alaykum vipi hàli aujambo mimi nimekuwa na aswali juu ya kuhusu kuswali nataka kujua pale kwenye hatahiyatu ya kwanza na ya pili panaanicabganya san
Assalamualaikum naomba kujua maan ya bidaa
Bilali alikkuwa swahaba wa kipind Cha Nabii Gani?
Asalamu aleikumu ni halali kuridhiwa na mtoto wa nje ya ndoa? Na hakizake ni zipi ?
Asalaam Aleykum warahmatulahi wabarakatuhu, mimi swali langu ni kuhusu Rukuu, ukiwa kwenye Rukuu macho unafaa kuangazia wapi? kunao wanao sema unafaa kuangalia unako enda kusijudu na wengine husema unafaa kuangalia vidole vya miguu zako. ni ipi sahihi naomba kufahamu. Shukran wabillahi tawfiq
Jee ukimpa mkeo talaka kwa hasira bila ushahidi yoyote yapita.