Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Swali saut yangu inakwaruza nina kama miez 2 iv shda n nn?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 922
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
je ninapochukua udhu naruhusiwa kuongea?
Assalaam a'laykum warahmatullãhi wabarakaatuh! Shaikh nauliza; ivi inawezekana mke kuslimu na kufunga ndoa ya kiislam siku hiyo?hiyo
Swali langu nauliza nikuwa talaka inayokubalika ni talaka zipi
Asalaam alaykum? Shekhe naomba unisaidie khutuba ya ijumaa kwa kiswahili, maana nipo kijijini. Siku moja ilitokea kuswali adhukhuri kwa sababu imamu alikua anaumwa, na hii itasaidia kwa dharula Kama hizi.
Je mtu aliezidiwa akjitoa manii usiku wa Ramadhan je inakuaje?
Je kwa mfano mtu umekuangukia mkojo kwenyw nguo na unataak kwenda kuswali Nini unatakiwa kufanya