Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Tumbo kuuma chini ys kitovu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 86
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Shida yang kweny uume wangu sometime uwa unawasha kwa ndani naombaa nisaidie kujua ogonjwa gan
Habari naomba kuuliza eti mimba huanza kuonekana siku ya ngap
Sorry nlikua naomba kuuliza kuharisha kinyesi cheusi inaweza kusababishwa na nn
Mie sijapima Kama Nina mimba lakini nina week moja sasa sipo kawaida nikiamka asubuhi najisikia Kama kichefuchefu lakini sitapiki nahisi natumbo Kama linajaa gas
Habar katika dalili zote nilizosoma ninazokumbana nazo mm ni kujisaidia kinyesi laini ,kujamba mara kwa mara ,kuhisi kwenda haja kubwa ukienda unajamba tu, kichwa kuuma ,na paja kuuma mm nitakuwa na shida Gani maana napata maumivu tumboni upande wa kulia
Habari kwa mtu Ambae Ametumia dawa za ARV vizuri na baada ya kupima ikaonekana wadudu wa HIV hawaonekani Tena kwenye kipimo Anaweza kuacha kutimia dawa za ARV?