Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Unaweza kupata virusi bila kujamiiyana
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 300
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Niko na shida nikimaliza sector ya mapenzi na mkee wangu kuna unyevunyevu kwa sehemu yangu ya Siri na mwashowasho kiasi ndani ndani inaweza kua ni shida gani
Habari pole na majukumu kuna kipindi nilianza kuumwa chini ya kitovu nikaambiwa nina uvimbe nikapewa dawa nikamaliza dose lkn nikawa napata maumivu lkn sio ya kila siku hethi kuvurugika ovyo maumivu makali kipind cha heth nikawa natumia tu dawa za maumivu
Sasa saivi naskia kitu kinacheza tumboni chini ya kitovu na mda mwingine kama kinavutaa nikienda kukojoa naskia maumivu kama kitu kinashuka chini mda mwingine maumivu ya tumbo kama vichomi
Na tumbo lng linaumuka
Nasikia dalili ya kuumwa Tumbo Kwa chini upande kushito, mäumivu yanafika mpaka nyingani
Me moyo unaendag mbio halaf kooni nakuwa kama kuna kitu kimeban mpk kweny kifua
Mm naumwa na tumbo side ya left chini kabisa Yani kunadundadunda mpka sometimes nasikia maumivu halafu nakojoa kila mara
Dem akianza Day one mpka day five akifnya sex anashika mimba?