Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Vitabu vya hadithi wakati wa maswahaba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 562
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba kujua tofauti kati y hadithi qudsi na hadithi nabawiy
Nabii lut alikwenda wapi baada ya gharika
Mjane akiacha Mali halafu akawa Ameacha watoto wa Tano mmoja mwislam wengine wakristo na mjane alikuwa mwislam, swali langu Hawa watoto ambao ni wakristo Wana haki ya kumrithi mama Yao? Naomba unisaidie majibu pamoja na kifungu kitakacho patikana juu ya jibu lako. Asante
je inawezekn kuswalia nyumbn swal y usiku
Je khalifa Abubakar alitawafu vipi?
Je kwan maiti ya mtoto ambaye hajabarehe wakike ukimxhonea sanda kama ya mwanamke aliye barehe ni vibaya?