Faida za kiafya za Asali

Faida za kiafya za Asali



Faida za kiafya za kula Asali

  1. Asali ina virutubisho kama sukari, vitamini na madini mbalimbali
  2. Asali huweza kuupa mwili uwezo wa kujilinda dhidi ya shambulio la moyo, presha,na saratani
  3. Pia asali huboresha afya ya macho
  4. Huongeza kiwango cha sukari kwenye damu
  5. Hushusha presha ya damu
  6. Huborsha na kuimarisha afya ya moyo
  7. Ni dawa kwa aliyeungua ama kwa mwenye kidonda ama jeraha
  8. Ni dawa ya kikohozi kwa watoto

 



                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 104


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-