Faida za kiafya za kula karanga

Faida za kiafya za kula karanga

Faida za kiafya za kula karanga



Faida za kiafya za kula karanga

  1. karanga zina virutubisho kama protini, fati, vitamini B1, B2, B6, madini ya calcium, phosphorus, magnesium na sodium
  2. Husaidia katika kudhibiti kisukari
  3. Husaidia kuzuia saratani
  4. Husaidia katika kutunza kumbukumbu na kuboresha afya ya ubongo
  5. Huzuia unyonyokaji ama ukatikaji wa nywele
  6. Husaidia katika kupunguza uzito
  7. Husaidia katika ukuaji mzuri wa watoto
  8. Huboresha afya ya ngozi
  9. Ni nzuri kwa afya ya moyo


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 5915

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 ai web app     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Faida za kiafya za kula kabichi

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kabichi

Soma Zaidi...
Vyakula vya kuongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha

Post hii itakwenda kukufundisha vyakula ambavyo ni vizuri kwa mwanamke anayenyonyesha ili kumsaidia kupata maziwa kwa wingi.

Soma Zaidi...
Faida za kula nanasi

Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya

Soma Zaidi...