Faida za kiafya za kula Karoti

Faida za kiafya za kula Karoti



Faida za karoti

  1. karoti ina virutubisho kama sukari, fati, protini, vitamini A, B, K na madini ya potassium.
  2. Hupunguza hatari ya kupata saratani
  3. Hususha cholesterol
  4. Husaidia kupunguza uzito
  5. Husaidia kuboresha afya ya macho
  6. Karoti ni nzuri kwa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
  7. Husaidia kudhibiti ugonjwa wa kisukari
  8. Husaidia kulinda na muimarisha afya ya moyo na mishipa ya moyo
  9. Husaidia kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  10. Karoti ni nzuri kwa afya ya mifupa


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 234


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-