Faida za kiafya za kula Mayai

Faida za kiafya za kula Mayai



Faida za kiafya za kula mayai

  1. Mayai yana virutubisho kama vitamini A, B5, B12, B2 B6, D, E na K. pia yai lina madini ya selenium, zinc na calcium
  2. Husaidia katika kuongeza kiwango cha cholesterol zilizo nzuri
  3. Husaidia katika ufanyaji kazi wa ubongo kuwa mzuri pia katika kutengeneza utando wa seli
  4. Mayai huamini ka katika kupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
  5. Mayai ni chakula kizuri kwa afya ya macho
  6. Mayai yana kiwango kikubwa cha protini iliyo bora kabisa
  7. Pia mayai husaidia katika kupunguza hatari ya kupata kiharusi yaani kupalalaizi
  8. Husaidia pia katika kupunguza uzito.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 799

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

Nini maana ya protini

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya protini

Soma Zaidi...
Kazi za virutubisho vya protini mwilini

Somo hili linakwenda kukuletea kazi za virutubisho vya protini mwilini

Soma Zaidi...
FAIDA ZA MAJI MWILINI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za viazi vitamu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi vitamin

Soma Zaidi...
Faida za kula Embe

Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho

Soma Zaidi...
Faida za kula Palachichi

Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula korosho

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula korosho

Soma Zaidi...
Fahamau protini na kazi zake, vyakula vya protini, na athari za upungufu wake.

unayopaswa kuyajuwa kuhusu protini na vyakula vya protini, faida zake na hasara zake. Madhara ya kiafya yanayohusiana na protini pamoja na kuyaepuka madhara hayo

Soma Zaidi...