Faida za kiafya za kula Mihogo

Faida za kiafya za kula Mihogo





                   

Faida za kiafya za kula mihogo

  1. mihogo ina virutubisho kama vitamini C, protini, wanga, sukari, vitamini B, madini ya calcium, magnesium, sodium na phosphorus.
  2. Husaidia katika kupunguza uzito
  3. Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
  4. Husaidia kuboresha afya ya macho
  5. Hutibu tatizo la kuharisha chemsha mizizi yake kisha kunywa
  6. Husaidia katika kupenesha vidonda
  7. Hutibu homa na maumivu ya kichwa
  8. Hutibu minyoo
  9. Huongeza hamu ya kula
  10. Huianguvu miili yetu kwa haraka

 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 391


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-