Faida za kiafya za kula Nanasi

Faida za kula nanasi
- Nanasi lin virutubisho kama fati, protini, vitamini C, vitamini B6, madini ya chuma, manganeseum na shaba.
- Hupunguza misongo ya mawazo (stress)
- Nanasi ni rahisi kumeng’enywa tumboni
- Hupunguza hatari ya ugonjwa wa saratani
- Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Hupunguza maumivu ya viungio
- Husaidia kupona haraka baada ya kufanyiwa upasuaji
- Ni tunda tamu
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Virutubisho vya mwili
Posti hii inahusu zaidi virutubisho vya mwili, ni aina tano za vyakula ambayo ufanya kazi mbalimbali kwenye sehemu za mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Yafahamu magonjwa nyemelezi kwa watoto chini ya miaka mitano
Posti hii inahusu zaidi magonjwa nyemelezi kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano,. Ni magonjwa yanayowapata watoto wadogo kwa sababu kinga Yao bado ni ndogo.
Soma Zaidi...Faida za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula bamia/okra
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Umuhimu wa kula matunda na mboga mboga kila siku.
Mara nyingi tunasikia ushauri wa "kula matunda na mboga mboga," lakini je, umewahi kujiuliza kwa nini hii ni kanuni muhimu zaidi ya lishe bora? Vyakula hivi sio tu kwa ajili ya kuongeza ladha kwenye sahani yako; ni hazina ya virutubisho, viondoa sumu, na nguvu za kinga zinazouwezesha mwili wako kufanya kazi kwa ufanisi na kukuepusha na magonjwa sugu. Makala haya yanakupa sababu za msingi kwa nini unapaswa kuweka mboga na matunda kwenye kila mlo wako.
Soma Zaidi...