Faida za kiafya za kula ndizi

Faida za kiafya za kula ndizi



Faida za kula ndizi

  1. ni chanzo kikuu cha vitamini B6
  2. Pia ni chanzo kizuri cha vitamini C
  3. Ndizi ni nzuri kwa afya ya ngozi
  4. Madini ya postassium yaliyopo ndani ya ndizi husaidia kuboresha afya ya moyo na presha ya damu
  5. Husaidia katika kuboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
  6. Ndizi humpatia mlaji nguvu
  7. Ndizi zina virutubisho vingine kama protini, fati na madini
  8. Huthibiti kiwango cha sukari kwenye damu
  9. Husaidia katika kupunguza uzito zaidi
  10. Huondosha sumu za vyakula mwilini
  11. Husaidia katika kuimarisha afya ya figo


                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 84

Post zifazofanana:-

NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO: kuosha mikono, kuwa msafi, kuvaa viatu, maji safi, kuivisha nyama vyema
NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo. Soma Zaidi...

Imam Abu Hanifa: Nuuman Ibn Thabit
Soma Zaidi...

BAADHI YA DUA ZA KILA SIKU
BAADHI YA DUA ZA KILA SIKU. Soma Zaidi...

HUKUMU ZA IDGHAM
Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa Soma Zaidi...

Uchaguzi wa Omar (Umar) kuwa khalifa wa Pili baada ya Mtume
Uchaguzi wa 'Umar bin Khattab kuwa Khalifa wa Pili. Soma Zaidi...

MAANA YA Quran
Maana na majina ya Quran Maana ya Wahyi. Soma Zaidi...

HUKUMU ZA IDGHAM
Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa Soma Zaidi...

Neno la awali
Asalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh Sifanjema zinamstahikia Allah Mola wa viumbe, muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo. Soma Zaidi...

kwa nini riba ni haramu?
Soma Zaidi...

Somo la afya na dawa na matibabu
Soma Zaidi...

Khalifa 'Umar bin Abdul Aziz
Soma Zaidi...

Sifa za wanafiki katika quran
Soma Zaidi...