picha

Faida za kiafya za kula samaki

Faida za kiafya za kula samaki



Faida za kiafya za kula samaki

  1. samaki wana virutubisho kama protini, fati, vitamini kama vitamini D na madini mbalimbali kama iodine.
  2. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo kama shambulio la moyo na stroke
  3. Ni chakula kizuri kwa ukuaji bora wa mtoto
  4. Husaidia katika ukuaji wa ubongo na afya ya ubongo
  5. Hupunguza stress na misongo ya mawazo
  6. Ni chanzo kikubwa cha vitamini D
  7. Hulinda mwili dhidi ya kupata kisukari
  8. Huzuia pumu kwa watoto
  9. Huboresha afya ya macho hasa kwa wazee
  10. Husaidia kupata usingizi mwororo
  11. Samaki ni chakula kitamu.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1955

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana:

Sababu za kuwa na fangasi ukeni

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwa na fangasi ukeni, ni vitu ambavyo usababisha fangasi ukeni kama ifuayavyo.

Soma Zaidi...
Faida za kula karoti

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula karoti

Soma Zaidi...
VYAKULA HATARI KWA VIDONDA VYA TUMBO

Hivi ni vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo. mwenye vidonda vya tumbo hatakiwi kula vyakula hivi

Soma Zaidi...
VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Faida za kitunguu thaumu

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kitunguu thaumu

Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa mwenye kisukari

Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari kwa mwenye kisukari

Soma Zaidi...
Boga (pumpkin)

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula maboga

Soma Zaidi...