Faida za kiafya za kula Tango

Faida za kiafya za kula Tango



Faida za kiafya za kula Tango

  1. tango lina virutubisho kama fati, protini, pia lina vitamini K na C pia kuna madini ya manganese na manganessium
  2. Huondosha kemikali na sumu ndani ya vyakula
  3. Hsaidia kuipa maji miili yetu
  4. Husaidia kupunguza uzito mwilini
  5. Husaidia kushusha sukari mwilini
  6. Husaidia katika kupata choo vizuri


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 132


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-