Faida za kiafya za kula Tikiti

Faida za kiafya za kula Tikiti



Faida za kula tikiti

  1. hufanya mwili uwe na majimaji mengi na hii ni faida kubwa sana kiafya
  2. Tikiti lina virutubisho kama vitamini C, A, B1, B5, na B6. Pia lina madini ya manganessium na potassium
  3. Husaidia kuzuia saratani
  4. Huimarisha afya ya moyo
  5. Hupunguza misongo ya mawazo
  6. Hupunguza udhaifu wa viungo kwa wazee
  7. Husaidia kuboresha afya ya nywele na ngozi
  8. Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 88


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-