Maumivu, kizunguzungu, kichefuchefu na kutoka na damu ni dalili zamimba?

Je unapata dalili zisizoeleweka ni ni za mimba ama laa. Hapa nitakujuza hali baadhi ya wanawake zinazowatokea.

Swali

Sorry nilikuwa nauliza swali kutokana na mada niliyoisoma kuhusiana na dalili za mimba.....huwa na kawaida ya kwenda siku tano katk hedhi yangu ila safari hii nimeingia nne na siku ya tano nikakutana na mme wangu ila chakushangaza baada kama masaa matatu kupita baada ya tendo ikatoka damu kidogo ambayo imenishtua na kwa sasa inafika wiki ya pili hii na nnahic kichefu chefu kizunguzungu...maumivu ya kichwa na tumbo baadhi ya siku....pia leo umetoka uchafu mweupe kidogo ukeni hali ambayo imenishtua kwa kiasi flani......hivyo kutokana na hali hiyo inaweza ikawa ni mimba au ni maradhi mengine tu??

 

Jibu: 

' fika kituo cha afyavupime ujauzito huwenda umebeba

' huwenda una PID hivyo pata vipimobhospitali kuthibitisha

'Inaweza pia kuna ukavu wa ukenivukawa ndio sababu ya damu 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-19     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1658

Post zifazofanana:-

Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI Soma Zaidi...

Dondoo za afya 41-60
Somo Hili linakwenda kukuletea dondoo mbalimbali za afya Soma Zaidi...

Njia za kuzuia mimba zisiharibike.
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuzuia mimba zisiharibike, kwa sababu kila mama anayebeba mimba anategemea kupata mtoto kwa hiyo na sisi hamu yetu ni kuhakikisha kwamba mtoto anazaliwa kwa kuzuia mimba kuharibik Soma Zaidi...

Maana ya kusimamisha uislamu katika dini
Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Ujio wa wageni wa baraka
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

Walio katika hatari ya kupata homa ya inni
Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata homa ya ini,kwa sababu ya hali zao mbalimbali wanaweza kupata ugonjwa huu. Soma Zaidi...

Dalili na Ishara za utasa kwa wanaume.
posti hii inaonyesha dalili na Ishara kuu ya utasa wa kiume ni kutokuwa na uwezo kumpa mwanamke ujauzito. Kunaweza kuwa hakuna dalili nyingine dhahiri. Soma Zaidi...

Ifahamu dawa ya isoniazid katika kupambana na ugonjwa wa TB
Post hii inahusu zaidi dawa ya isoniazid katika mapambano na kifua kikuu, tunafahamu kabisa kwamba kifua kikuu ni hatari katika jamii kwa hiyo dawa ya isoniazid ni mkombozi katika mapambano na kifua kikuu. Soma Zaidi...

Haki za maadui katika vita (mateka wa kivita)
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Hadithi ya samaki wa Rangi nne
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Mafunzo ya database MySQL somo la 3
Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya database na jinsi ya kutengeneza bloga na website na hili ni somo la tatu. hapa utajifunza jinsiya kutengeneza database yako kwa mara ya kwanza. Soma Zaidi...

Dalili na sababu zinazopelekea matatizo ya ugonjwa wa ngono.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili zilizopo katika matatizo ya ngono. Soma Zaidi...