Nahitaji kufaham siku ya kumpatia mimba make wangu, yeye hedhi yake ilianza talehe22

Je na wewe ni moja kati ya wake ambao wanahitajivkujuwa siku za kupata mimba. Ama siku za competes mwanamke mimba. Post hii ni kwa ajili yako.

Swai:

Nahitaji kufaham siku ya kumpatia mimba make wangu, yeye hedhi take ilianza talehe22

 

Jibu: 

'Siku za hatari zinacheka kati ya siku ya 10 mpaka 17 toka kuingia hedhi ya kwanza katika mwezi huo. Mahesabau haya ni kwa wanawake walio wengi hassan ambao siku zako ni 28.

 

'Siku hizi zinaweza kuongezeka ama kuounguwa kulingana na siku za mwezi mwa mwanamke. 

 

' Kama mwanamke yupo katika harakati za kutafuta ujauzito hakikisha unafanya tendo la ndoa katika siku hizi: -

1. Siku ambayo una hamu sana '

2. Siku ambayo Majimaji ya ukeni yameongezeka '

3. Siku ambayo joto la mwili limeongezeka lakini sio kwa sababu ya homa,  au maradhi au uchovu

 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-05     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1486

Post zifazofanana:-

Mambo yanayosababisha nguvu za kiume kupungua
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili pamoja na mambo yanayosababisha nguvu za kiume kupungua kwa Wanaume Soma Zaidi...

Utaratibu wa lishe kwa watoto
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa watoto Soma Zaidi...

Njia za uzazi wa mpango zinazomhusisha mwanaume
Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango unavyofanya na mwanaume kushiriki, ni njia ambayo umfanye mwanaume awe mhusika hasa wakati wa kujamiiana. Soma Zaidi...

Uchunguzi wa kuharisha damu na tiba yake
Posti hii inahusu zaidi uchunguzi wa kuharisha damu na Tiba yake, ni Ugonjwa ambao unaowashambulia sana watoto hasa wenye chini ya umri wa miaka mitano, kwa hiyo huoaugonjwa tunaweza kuutambua na kutibu kwa njia zifuatazo. Soma Zaidi...

Sababu za mngurumo wa moyo
Mngurumo wa moyo ni sauti wakati wa mzunguko wa mapigo ya moyo wako kama vile kutetemeka inayotolewa na damu yenye msukosuko ndani au karibu na moyo wako. Sauti hizi zinaweza kusikika na kifaa kinachojulikana kama stethoscope. Mapigo ya moyo ya kawaida Soma Zaidi...

Dalilili za polio
Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo. Soma Zaidi...

Vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito
Posti hii inahusu vyakula ambavyo vinasaidia kupunguza uzito, ni baadhi ya vyakula ambavyo unaweza kutumia ili kuweza kuweka kwenye hali ya kawaida. Soma Zaidi...

Faida za apple kwa Mama mjamzito
Posti hii inahusu zaidi faida za apple kwa mama mjamzito, ni faida anazozipata mama akiwa mjamzito kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini mbalimbali kwenye apple ambavyo usaidia katika makuzi ya mtoto.I Soma Zaidi...

Sababu za Maumivu ya shingo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu ya shingo na ndani yake kunasababu zinazopelekea shingo kupata maumivu. Soma Zaidi...

Vyakula vya kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Posti hii inahusu zaidi vyakula mbalimbali vya kuongeza tendo la ndoa, kwa kawaida kuna vyakula mbalimbali ambavyo watu ukitumia ili kuweza kuongeza tendo la ndoa vyakula hivyo ni kama tutakavyoona hapo baadaye Soma Zaidi...

Dalili za uvimbe kwenye kizazi
Posti hii inahusu zaidi Dalili za uvimbe kwenye kizazi,hizi ni Dalili ambazo ujitokeza kwa akina mama ambao wana uvimbe kwenye kizazi kwa hiyo endapo mama ameona Dalili kama hizi anapaswa kuwahi hospitali mara moja kwa uangalizi zaidi. Soma Zaidi...

Nje ya jumba la kifahari la aladini
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi ya aladini na taa ya ajabu Soma Zaidi...