NAMNA YA KUWASAIDIA WAGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO


image


Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo, ni njia ya kuwasaidia wagonjwa waliopata madonda ya tumbo


Namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata madonda ya tumbo,

 1. Kupunguza maumivu kwa kuwapatia dawa za kupunguza maumivu lakini wasipewe asprini , kabla ya kumpa dawa inabidi kuwasiliana na daktari.

 

2. Kuwashauri wapunguze wasiwasi na mawazo, katika kufanya hivyo tunapunguza kuzalisha kiasi Cha acidi kwenye tumbo.

 

3. Kuwapatia chakula muhimu kwa ajili ya wagonjwa wa vidonda vya tumbo, ni pamoja na kuacha kutumia vyakula vyenye acidi.

 

4. Hakikisha unaangalia dalili za hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni pamoja na kuangalia msukumo wa damu, joto la mwili, mapigo ya moyo, na upumuaji,

 

5. Kama Kuna dalili za kuzimia, msaidie mgonjwa Ili aweze kupatiwa mazingira kufaa na kama hewa haitoshi mpatie gasi ya oksijeni.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa
Hii post inahusu zaidi kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa, ni kanuni zinazopaswa kufuata wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa. Soma Zaidi...

image Dalili za saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa.
Saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa ni aina isiyo ya kawaida ambayo kitaalamu hujulikana Kama saratani ya mkundu.Mfereji wa mkundu ni mirija fupi iliyo mwisho wa puru yako ambayo kinyesi hutoka mwilini mwako. Saratani ya kwenye Njia ya  haha kubwa inaweza kusababisha dalili nkama vile kutokwa na damu kwenye njia ya haja kubwa na maumivu. Soma Zaidi...

image Dalili za maambukizi kwenye milija(fallopian tube)
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye milija (follapian tube) kwa kitaalamu huitwa salpingitis, ni maambukizi kwenye milija ambayo husababishwa na bakteria. Soma Zaidi...

image Saratani ya matiti (breasts cancer)
Post yetu inaenda kuzungumzia kuhusiana na Saratani ya Matiti ni Saratani ambayo hutokea katika seli za matiti. Baada ya Saratani ya Ngozi, Saratani ya matiti ndiyo Saratani inayojulikana zaidi hugunduliwa kwa wanawake Mara nyingi. Saratani ya Matiti inaweza kutokea kwa wanaume na wanawake, lakini inawapata zaidi wanawake. Soma Zaidi...

image Ndug mi naitaj ushauri mimi nishaingia kwenye tendo dakika 7 tu nakua nishafika kilelen naomba ushauri ndugu
Kama unadhani una tatizo la kuwahi kufika kileleni basi post hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...

image Je mwanamke anaweza pata mimba ikiwa wakati watendo la ndoa hakukojoa Wala kusikia raha yoyote ya sex wakati watendo landoa
Je wewe ni mwanmake unayepata shida kufika kileleni? (Kukojoa wakati wa tendo lwa ndoa). Post hii itakujibu baadhi ya maswali yako. Soma Zaidi...

image Je kukosa hedhi kwa mwanmke anayenyonyesha ni dalili ya mimba
Kipimo cha mimba cha mkojo hakiwezi kyonyesha mimva changa sana. Hivyo kama ni mimba baada ya wikibpima tena itaweza kuonekana. Dalili hizobulizotaja pekee haziashirii mimba tu huwenda ni homoni zimebadilika kidogo, ama una uti. Soma Zaidi...

image Namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo, ni njia ya kuwasaidia wagonjwa waliopata madonda ya tumbo Soma Zaidi...

image Saratani ya Matiti ya wanaume.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Saratani ya matiti ya Mwanaume ni Saratani nadra ambayo hutokea katika tishu za matiti za wanaume. Ingawa saratani ya matiti hufikiriwa zaidi kuwa ugonjwa wa wanawake, saratani ya matiti ya mwanaume hutokea. Saratani ya matiti kwa wanaume huwapata zaidi wanaume wazee, ingawa inaweza kutokea katika umri wowote. Soma Zaidi...

image Madhara ya kutotibu magonjwa ya vidonda vya tumbo
Post hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu magonjwa ya vidonda vya tumbo, ni hatari inayotokea kwa mtu ambaye haujatibiwa vidonda vya tumbo. Soma Zaidi...