NAMNA YA KUZUIA MAAMBUKIZI KWENYE MILIJA NA OVARI


image


Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari, ni njia ambazo usaidia kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari


Njia za kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari

1. Elimisha jamii  kwa kuwepo kwa ugonjwa huu na madhara yake na kujua kuwa unatibika.

 

2. Kuepuka ngono zembe katika kujamiiana, hii ni pale ambapo mwenye maambukizi kufanya ngono bila kinga, daima tumia kinga

 

3.Epuka kuosha sehemu za Siri Mara kwa mara kwa na sabuni maana huondoa bakteria ambao hawapaswi kuondolea kwa kitaalamu huitwa (normal frola) hawa bakteria nikwa ajili ya kinga

 

4 .  Badilisha Pedi kwa mda maalumu na unaofaa, maana kukaa na Pedi mda mrefu usababisha maambukizi

 

5. Epuka kutumia vileo vikali ambavyo husababisha madhara mbalimbali na pengine ndio chanzo Cha ngono zembe.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image DALILI ZA UTUMBO KUZIBA
Kuziba kwa utumbo ni kuziba kwa chakula au kimiminika kisipite kwenye utumbo mwembamba au utumbo mpana (colon). Kuziba kwa matumbo kunaweza kusababishwa na mikanda ya nyuzi kwenye fumbatio ambayo huunda baada ya upasuaji, mifuko iliyovimba au iliyoambukizwa kwenye utumbo wako . Soma Zaidi...

image Mambo yanayochangia Ili dawa kuingia kwenye damu vizuri
Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia Ili dawa iingie vizuri kwenye damu, na mambo yanayoweza kusababisha dawa kuingia au kutoingia vizuri kwenye damu. Soma Zaidi...

image Habari za leo ndugu zangu mimi Ni dalili zipi hasa za awali zinazoashiria umeambukizwa ukimwi
Anataka kujuwa dalili za awali za kujuwa kuwa umeathirika na UKIMWI Soma Zaidi...

image Je mjamzito Uchungu ukikata inakuwaje
Hutokea uchungu wa kujifunguwa ukakati. Unadhani ni kitugani kinatokea. Soma Zaidi...

image Habari ndugu naomba kuuliza eti mtu akipaliwa na asali anakufa?
Post hii inakwenda kukujulisha hatari za kupaliwa na asali ama kitu kingine kama muulizaji alivyouliza. Soma Zaidi...

image Njia zinazotumika Ili kumpatia mgonjwa dawa
Posti hii inahusu zaidi njia kuu nne ambazo utumika kumpatia mgonjwa dawa, Ili kumpatia mgonjwa dawa Kuna njia za kutumia kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

image Namna ya kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari, ni njia ambazo usaidia kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari Soma Zaidi...

image Dalili za maambukizi kwenye nephroni
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye nephroni, uweza kutokea kwenye figo Moja au zote mbili. Soma Zaidi...

image Dalilili za Ngozi kuwa kavu
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ngozi kuwa kavu si mbaya, lakini inaweza kusumbua na isipendeze, ikitengeneza mistari laini na Mikunjo. Soma Zaidi...

image Madhara ya ulevi
Poshi hii inahusu madhara ya ulevi.Utegemezi wa pombe kwa kawaida humaanisha kuwa mtu anatumia kiasi kikubwa cha pombe na kuna masuala kuhusu kupoteza udhibiti. Soma Zaidi...