NAMNA YA KUZUIA MAAMBUKIZI KWENYE NEPHRONI


image


Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni, ni njia zinazotumika kuzuia maambukizi kwenye nephroni


Njia za kuzuia maambukizi kwenye nephroni

1. Kupunguza vyakula vyenye sumu

2 kunywa maji yabayohitajika kwa kiwango maalumu Ili kupunguza sumu

3. Kupunguza vyakula vyenye kemikali

4 kutumia mlo kamili

5. Kuzuia maambukizi kwenye nephroni na figo hasa magonjwa

6. Kupunguza kutumia vidonge vya kupunguza maumivu bila sababu ya msingi



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image DALILI ZA SELIMUDU
Posti hii inazungumzia ishara na dalili za SELIMUDU ambao kitaalamu huitwa Sickle cell Anemia.selimudu ni aina ya kurithi ya Anemia — hali ambayo hakuna chembechembe nyekundu za damu zenye afya za kutosha kubeba oksijeni ya kutosha katika mwili wako wote. Soma Zaidi...

image Habari nilitaka kujua kuhusu ugonjwa wa fungusi kwenye uume
Je na wewe unasumbuliwa na fangasi wenye uume. Post hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...

image Dalilili za Ngozi kuwa kavu
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ngozi kuwa kavu si mbaya, lakini inaweza kusumbua na isipendeze, ikitengeneza mistari laini na Mikunjo. Soma Zaidi...

image Dalili za uvimbe kwenye kinywa
Post hii inahusu dalili za uvimbe kwenye kinywa ambapo kitaalamu hujulikana Kama oral candidiasis Uvimbe kwenye kinywa husababisha vidonda vyeupe, kwa kawaida kwenye ulimi au mashavu ya ndani. Wakati mwingine uvimbe kwenye kinywa huweza kuenea hadi kwenye paa la mdomo wako, ufizi au tonsils au sehemu ya nyuma ya koo lako. Soma Zaidi...

image Ishara na dalilili za Kichaa Cha mbwa
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Kichaa cha mbwa ni virusi hatari vinavyoenezwa kwa watu kutoka kwa mate ya wanyama walioambukizwa. Virusi vya kichaa cha mbwa kawaida hupitishwa kwa kuuma. Soma Zaidi...

image Dalilili zinazotokea kwenye mrija wa mkojo
Mrija wa mkojo hutoa mkojo nje ya mwili lakini mrija huu unapoziba hufanya utoaji wa mkojo kutoka kwa shida au maumivu Soma Zaidi...

image Madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa, ugonjwa huu usipotibiwa unaweza sababisha madhara mbalimbali kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

image Dalilili za mimba Kuharibika
Kuharibika kwa mimba ni upotevu wa hiari wa ujauzito kabla ya wiki ya 20. Takriban asilimia 10 hadi 20 ya mimba zinazojulikana huisha kwa kuharibika kwa mimba. Lakini idadi halisi labda ni kubwa zaidi kwa sababu mimba nyingi hutokea mapema sana katika ujauzito hata mwanamke hajui kuwa ni mjamzito. Soma Zaidi...

image Dalilili za saratani ya utumbo
Saratani ya Utumbo ni Saratani ya utumbo mpana (koloni), sehemu ya chini ya mfumo wako wa usagaji chakula. Kwa pamoja, mara nyingi hujulikana kama Saratani ya utumbo mpana. Visa vingi vya Saratani ya utumbo mpana huanza kama mikunjo midogo isiyo na kansa inayoitwa adenomatous polyps. Baada ya muda baadhi ya polipu hizi huwa Saratani za koloni. Soma Zaidi...

image Dalili za madonda ya koo
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya koo, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu ya koo la hewa, na na huwa na dalili zake kama ifuayavyo. Soma Zaidi...