NAMNA YA KUZUIA UGONJWA WA HOMA YA INNI.


image


Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa wa Homa ya inni kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine,


Namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni

1. Kwanza kabisa tunapaswa kupata chanjo ya ugonjwa huu Ili kuweza kupunguza hali ya kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, hasa kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano hii chanjo utolewa Bure kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kuwa kila mtoto anapata chanjo ya Homa ya inni, na kwa watu wazima chanjo hii unatolewa kwenye hospitalini mbalimbali kwa hiyo ni lazima na vizuri kuipata Ili kuepuka matatizo ambayo utokea kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi ya Homa ya inni.

 

2. Kuepuka ngono zembe, 

Hizi ni Aina za ngono ambazo ufanyika bila kutumia kondomu ambapo virus usambaa kutoka kwa mtu Mwenye maambukizi kwenda kwa mwingine ambaye Hana maambukizi na kukua na kuongezeka. Kwa hiyo inabidi kutumia kondomu wakati wa kujamiiana Ili kuzuia hali ya kusambaa kwa Virusi vya Homa ya in kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na kusababisha madhara mengine makubwa katika jamii.

 

3. Kuwepo kwa umakini wakati wa kumwongezea mgonjwa damu.

Kabla ya kumwongezea mgonjwa damu kwanza yule anayeitoa damu anapaswa kupima Ili kuona kama ana vimelea vya Homa ya ini kama anavyo hapaswi kumpa mgonjwa damu kwa hiyo anapaswa kupatiwa matibabu kwanza , kwa hiyo damu yoyote inapaswa kupimwa kabla ya kumwongezea mwingine damu kwa hiyo maambukizi yatapumgua kwa kifonya hivyo.

 

4,kuacha kutumia vitu vya ncha kali kwa mtu zaidi ya mmoja kwa Sababu maambukizi yanaweza kusambaa kwa haraka , kwa hiyo jamii inapaswa kujua madhara katika hali zote za  ugonjwa wa Homa ya inni na hatari zake.kwa hiyo kila mtu ajitahudi kutumia vifaa vyake mwenye Ili kuepuka la ihoma ya ugonjwa wa ini.

 

5.Elimu ni muhimu kwa jamii kuhusu ugonjwa huu wa Homa ya ini kwa hiyo viongozi na wataalam wa afya wanapaswa kuhakikisha kuwa watu wote katika jamii wamepewa elimu kuhusu ugonjwa huu wa Homa ya inni kuanzia kwa kujua Dalili zake, namna unavyoenezwa, madhara yake na namna ya kuzuia ugonjwa huu, kwa kufanya  hivyo natumaini ugonjwa huu itapungua katika jamii.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Ugonjwa wa kuporomoka kwa mapafu (pneumothorax)
Posti hii inazungumzia Ugonjwa wa mapafu ambao hujulikana Kama pafu lililoporomoka (Pneumothorax) hutokea wakati hewa inavuja kwenye nafasi kati ya mapafu yako na ukuta wa kifua. Hewa hii hutoka nje ya pafu lako. Ugonjwa huu unaweza kusababishwa na jeraha butu au la kupenya la kifua, taratibu fulani za matibabu zinazohusisha mapafu yako, au uharibifu kutokana na ugonjwa wa msingi wa mapafu. Au inaweza kutokea bila sababu dhahiri. Dalili kwa kawaida hujumuisha maumivu ya ghafla ya kifua na upungufu wa kupumua. Soma Zaidi...

image Aina za vidonda
Posti hii inahusu zaidi Aina mbalimbali za vidonda kwenye mwili wa binadamu, ni vidonda ambavyo utokea kwenye mwili wa binadamu kwa Aina tofauti. Soma Zaidi...

image Dalili za ugonjwa wa fungusi uken
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa fungusi uken, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu za Siri ambao huwa na dalili kama zifuatazo. Soma Zaidi...

image Uvutaji wa sigara
Somo Hili linakwenda me kuhusu madhara ya uvutaji wa sigara Soma Zaidi...

image Dalili za ugonjwa sugu wa Figo.
Ugonjwa sugu wa figo, pia huitwa kushindwa kwa figo sugu, huelezea upotevu wa taratibu wa utendakazi wa figo. Figo zako huchuja taka na Majimaji kupita kiasi kutoka kwa damu yako, ambayo hutolewa kwenye mkojo wako. Ugonjwa sugu wa figo unapofikia hatua ya juu, viwango hatari vya Majimaji, elektroliti na taka vinaweza kujikusanya mwilini mwako. Soma Zaidi...

image Upungufu wa vitamin
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin Soma Zaidi...

image Dalili za jipu la jino.
Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti. Soma Zaidi...

image Zijue sehemu za mwili zinazochomwa chanjo.
Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo. Soma Zaidi...

image Hatua za Maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi hatua mbalimbali za Ugonjwa wa Ukimwi, kawaida Ugonjwa huu huwa na hatua kuu nne ila kila hatua huwa na sifa zake kwa hiyo tunapaswa kujua hatua za Ugonjwa huu na kujaribu kuzuia maambukizi yasisambae kabisa. Soma Zaidi...

image Zijuwe athari za vidonda mwilini
Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au vimetibiwa kwa kuchelewa. Soma Zaidi...