Home Afya Shule ICT Burudani Dini Maktaba Maswali Madrasa Apps Blog Legacy Login

NI DAWA GANI HATARI KWA MJAMZITO?


image


Ukiwa mjamzito uwe makini sana katika kuchagua matumizi ya dawa. Vinginevyobinawwza kuwa hatari. Hapa nitakujuza dawa ambazo ni hatari kutumia kwa ujauzito wako.


Swali

 
Doktar Mke wangu ana dalili moja wapo za ulizo zuweka hapo za vja uzito was wik ya 3 sasa amekunywa panardo alikua anajickia VIBAYA VIPI hi dawa inaweza kumletea matatzo?
 
Jibu
Mjamzito hatakiwi kumeza dawa kiholela hata kama alikuwa anaitumia. Siku za nyuma.  Matumizi ya dawa kiholela yanaweza kumletea madhara kwake na kwa mtoto. 
 
Kwa upande wa swali lako kuwa je panadol ina madhara kwa mjamzito.  Panadol haina madhara anaweza kutumia.  Ila hakikisha humezi dawa bila ya maelekezo kutoka kwa daktari. 
 
Mjamzito awe makini hasa anapokuwa na. Mimba changa maana utikaji wa mimba hufanyika. Katika kipindi hicho zaidi kuliko vipindi vingine. 
 
Pia mimba inapokomaa kama kuanzia wiki ya nane hapa pia awe makini sana na kumeza madawa kiholela. Awe makini pia na dawa zenye uchungu sana za mitishamba. 



Sponsored Posts


  πŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       πŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       πŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       πŸ‘‰    4 ICT       πŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       πŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS

Imeandikwa na Mahede Tags AFYA , Uzazi , ALL , Tarehe 2021-09-19     Share On facebook or WhatsApp Topic school Zaidi Dini AFYA ICT Burudani Tags Uzazi maswali Afya mengineyo dini HIV Sira vyakula Matunda HTML php Alif Lela 1 Alif Lela 2 FANGASI Dawa SQL Tips Quran Sunnah fiqh DARSA Magonjwa Tajwid tawhid simulizi Dua Academy Wahenga chemshabongo WAJUWA Michezo ICT Imesomwa mara 4155



Post Nyingine


image Madhara kwa wasiofanya mazoezi
Posti hii inahusu zaidi madhara mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa watu wasiofanya mazoezi, mazoezi ni kama tiba kwa namna Moja au nyingine ila Kuna madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale ambao hawafanyi mazoezi. Soma Zaidi...

image dalili za uchungu kwa mama mjamzito
Makala hii itakwenda kukufundisha baadhi ya dalili za uchungu kwa mama mjamzito. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusiana na kubalehe kwa msichana na mvulana.
Kubalehe ni wakati mwili wa mtoto unapoanza kubadilika na kuwa wa mtu mzima (balehe) hivi karibuni. Kubalehe ambao huanza kabla ya umri wa miaka 8 kwa wasichana na kabla ya umri wa miaka 9 kwa wavulana. Soma Zaidi...

image Dalili Za hatari ambayo zinaweza kusababisha ugumba
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zilijitokeza zinaweza kusababisha ugumba hasa kwa wanawake, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa makini kwa Dalili hizi hasa kwa wadada, kama kuna uwezekano wa matibabu tibu mapema ili kuepuka tatizo la kuwa mgumba. Soma Zaidi...

image Dalili za upungufu wa homoni ya projestron
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea iwapo Kuna upungufu wa homoni ya progesterone. Soma Zaidi...

image Sababu za mbegu za kiume kuwa dhaifu
Posti hii inahusu zaidi sababu za mbegu za kiume kuwa dhaifu, hali hii uwatokea wanaume wengi kwa sababu mbalimbali za kimaisha ambazo ufanya mbegu za kiume kuwa dhaifu na kusababisha madhara makubwa zaidi kwa sababu wanaume wengi ushindwa kujiamini kwa hiyo zipo sababu za kufanya mbegu kuwa dhaifu kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Uchungu usio wa kawaida kwa akina Mama.
Posti hii inahusu zaidi uchungu usio wa kawaida kwa akina Mama, kwa kawaida uchungu unapaswa kuwa ndani ya masaa Kumi na mawili ila Kuna wakati mwingine uchungu unaweza kuwa zaidi ya masaa Kumi na mawili na kusababisha madhara yasiyo ya kawaida kwa Mama na mtoto. Soma Zaidi...

image Sababu za kutangulia kwa kitovu wakati Mtoto anazaliwa
Posti hii inahusu zaidi sababu za kutangulia kwa kitovu wakati wa mtoto anapozaliwa. Soma Zaidi...

image Kaka nasumbuliwa saan na tatizo la kuwasha kwenye kichwa Cha uume Sijui nifanyaje
Je kichwa cha uume wako kinawasha, na je kinatoa majimaji kwenye njia ya mkojo, una muda ganinavtatizo hili. Na je ulishiriki ngono zembe siku za hivi karibuni? Soma Zaidi...

image mpenzi wangu nimeshiriki nae tendo la ndoa akiwa siku zake za hatar kwa siku 3 lakin hajashika mimba tatizo linaweza kuwa ni nini?
Kupata ujauzito hufungamana na mambo mengi ikiwepo afya vya wawili yaani me na mume na mengineyo. Unaweza kushiriki sikuvhatari na usiupate mimba. Postivhii ibakwendavkukufahamisha undani wa jambo hili. Soma Zaidi...