NINA SHIDA HIYO MAUMIVU CHINI YA TUMBO UPANDE WA KUSHOTO NA MKOJO WA KAHAWIA SANA NA UNATOA ARUFU


image


Kama unapatwa na maumivu ya tumbo na ilhali mkojo ni mchafu, ama una harufu sana, basi post hii ni kwa ajili yako.


Swali

Me pia Nina shida hiyo maumivu chini ya tumbo upande wa kushoto na mkojo wa kaawia Sana na unatoa arufu.

 

Jibu:

Mkojo kuwa mchafu na wenye harufu sana huwenda ikawa ni dalili ya UTI. Pamoja na maumivu hayo huwenda nayo yanasababishwa na UTI. Ijapokuwa zipo sababu nyingine zinazoweza kusababisha maumivu ya tumbo upande wa kushoto kama shida kwenye mfumo wa chakula, ama tumbo kujaa gesi. Huwenda pia shida kwenye mfumo wa mkojo kama mawe kwenye kibofu ama figo.

 

Kwanza ukapate vipimo vya UTI, kisha ikionekana hali hivyo hivyo ilhali huna UTI daktari atahitaji kufanya uchunguzi wa afya yako zaidi.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za ugonjwa wa kisonono
Kisonono ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria wa zinaa ambao wanaweza kuwaambukiza wanaume na wanawake. Kisonono mara nyingi huathiri urethra, puru au koo. Kwa wanawake, ugonjwa wa kisonono unaweza pia kuambukiza kizazi. Soma Zaidi...

image Madhara ya ulevi
Poshi hii inahusu madhara ya ulevi.Utegemezi wa pombe kwa kawaida humaanisha kuwa mtu anatumia kiasi kikubwa cha pombe na kuna masuala kuhusu kupoteza udhibiti. Soma Zaidi...

image Njia ya kupitisha dawa kwenye mdomo na vipengele vyake
Posti hii inahusu zaidi njia ya kupitisha dawa kwenye mdomo na vipengele vyake, hii njia dawa umengenywa kwenye tumbo na kupitia kwenye utumbo mdogo na baadae kwenye damu, Soma Zaidi...

image Dalili za tonsillitis (mafindo mafindo)
Tonsillitis kwa kiswahili hujulikana kama mafundomafundo ambayo hutokea pande mbili karibu na Koo na huwa na uvimbe na zikikaa kwa muda bila matibabu hutoa usaha.Dalili na dalili za ugonjwa wa tonsillitis ni pamoja na Soma Zaidi...

image Nikila tumbo linauma, mdomo mchungu, matiti yanauma na hedhi sijapata, je ni dalili za mimba?
Mdomo kuwa mchungu ni halia mabayo haiashirii ishara mbaya za kiafya. Mdomo unaweza kuwa mchungu kutokana na vyakula. Pia hutokea ikawa ni ishara ya baadhi ya maradhi, ama ni matokeo ya baadhi ya shda za kiafya. Je vipi kuhusu maumivu ya matiti na tumb? Soma Zaidi...

image Madhara ya kutotibu magonjwa ya vidonda vya tumbo
Post hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu magonjwa ya vidonda vya tumbo, ni hatari inayotokea kwa mtu ambaye haujatibiwa vidonda vya tumbo. Soma Zaidi...

image Mambo yanayochangia Ili dawa kuingia kwenye damu vizuri
Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia Ili dawa iingie vizuri kwenye damu, na mambo yanayoweza kusababisha dawa kuingia au kutoingia vizuri kwenye damu. Soma Zaidi...

image Sababu za maumivu ya matiti na chuchu
Maumivu ya matiti yanaweza kuanzia kidogo hadi makali. Inaweza kukuathiri siku chache tu kwa mwezi, kwa mfano kabla tu ya kipindi chako, au inaweza kudumu kwa siku saba au zaidi kila mwezi. Maumivu ya matiti yanaweza kukuathiri kabla tu ya kipindi chako au yanaweza kuendelea katika mzunguko wote wa hedhi. Wanawake waliokoma hedhi wakati mwingine huwa na maumivu ya matiti, lakini maumivu ya matiti huwa ya kawaida zaidi kwa wanawake wachanga, waliopita kabla ya kukoma hedhi na wanawake walio katika kipindi cha mwisho cha hedhi. Soma Zaidi...

image Dalili za maambukizi kwenye ovari
Posti hii inahusu zaidi dalili za maambukizi kwenye ovari, ni maambukizi ambayo hutokea kwenye ovari na kusababisha matatizo makubwa kama mgonjwa haujatibiwa mapema. Soma Zaidi...

image Dalili za madonda ya koo
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya koo, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu ya koo la hewa, na na huwa na dalili zake kama ifuayavyo. Soma Zaidi...