Njia za kufuata unapohudumia watu waliopata ajali

Post hii inahusu zaidi namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu waliopata ajali. Ajali ni tukio lisilotarajiwa ambalo kinaweza kumkuta mtu yeyote, tunapotoa huduma ya kwanza tnazingatia rangi ambazo huwakilisha jinsi watu walivyoumia.

Namna ya kutoa huduma ya kwanza  kwa watu waliopata ajali kwa kufuata rangi zinazowakilisha jinsi watu walivyoumia

1.Rangi nyekundu

_ inawakilisha wale waliomahututi na wanahitaji msaada wa haraka Kati ya dakika mbili au tatu.

_ wakicheleweshwa wanaoweza kupoteza maisha

2. Rangi ya njano

_ inawakilisha wale majeruhi wanahitaji msaada Kati ya nusu saa, kwa hiyo ndani ya nusu saa inabidi wapewe huduma

3.Rangi ya kijani

_ ni rangi inayowakilisha wale ambao hawakupata maumivu, lakini kwa sababu ya kuona wengine wameumia na kuda huwa na wasiwasi sana.

_ hawa hawahitaji kutibiwa Ila upelekwa sehemu kwa ajili ya kupumzika na kupewa dawa za matumizi

4. Rangi nyeusi

_ inawakilisha wale waliofariki kwenye ajali, kwa hiyo hawahitaji matibabu yoyote Ila hupelekea kwenye chumba Cha kutunzia maiti.

Kwa hiyo kabla ya kutoa huduma ya kwanza ni lazima kufuata Hali ya  majeruhi kulingana na hali zao, zinazowakilisha na rangi



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/11/18/Thursday - 04:18:28 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 599


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Roghage/ vyakula vya kambakamba
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya roghage Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliyepata ajali ya kichwa
Ajali ya kichwa na ajali inayotolewa kwenye sehemu mbalimbali za kichwa, ambavyo husababishwa madhara kwa aliyepata ajali hiyo Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu
Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia. Soma Zaidi...

Umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua. Soma Zaidi...

Dalili za fizi kuvuja damu
Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa fizi ambapo fizi huweza kuwa na maumivu, kuambukizwa, kuvuja damu kwenye fizi na Vidonda. Soma Zaidi...

Njia za kukabiliana na presha ya kupanda/hypertension
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kupanda Soma Zaidi...

Zijue sehemu za mwili zinazochomwa chanjo.
Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo. Soma Zaidi...

Huduma ya kanza kwa mgonjwa mwenye jeraha la kawaida kwenye ubongo
Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza ya mgonjwa mwenye jeraha la kawaida kwenye ubongo, ni Tiba ambayo utolewa kulingana na dalili za jeraha la kawaida kwenye ubongo kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi. Soma Zaidi...

Vyakula vya fati na mafuta
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya fati na mafuta Soma Zaidi...

Namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo, ni njia ya kuwasaidia wagonjwa waliopata madonda ya tumbo Soma Zaidi...

Malengo ya kumsafisha mgonjwa nywele.
Posti hii inahusu zaidi malengo ya kumsafisha mgonjwa nywele zake, ni sababu ambazo upelekea kumsafisha mgonjwa nywele kama tutakavyoona hapo chini. Soma Zaidi...