image

Njia za kugundua tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu

Post hii inahusu Zaidi njia mbali mbali ambazo uweza kitumiwa na wataalamu ili kuweza kugundua tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu.

Njia za kugundua tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu.

1. Njia ya kwanza ni Kwa kutumia mionzi ambayo Kwa kitaalamu huitwa x- ray, mgonjwa huingizwa kwenye chumba maalumu na kuweza kuchukua picha kwenye sehemu ya kifua na pia baada ya kuchukuliwa picha uweza kusomwa na wataalamu ili kuweza kugundua kama Kuna tatizo hili la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu.

 

 

 

2. Njia nyingine ni Kwa kutumia kifaa Fulani ambacho Kwa kitaalamu huitwa bronchoscopy,ni kutoa sehemu ya usaha ili kuweza kupima kama Kuna usaha kwenye mapafu,Kwa kawaida kifaa hicho uingizwa kwenye mfumo wa hewa na kuangalia kama usaha upo na upo sehemu gani na hatimaye njia za kupitoa uendelea.

 

 

 

3. Pia kutumia maji maji na damu kutoka kwenye sehemu ya mapafu ili kuweza kuangalia ni mdudu gani ambaye yumo kwenye mapafu Kwa kufanya hivyo inakuwa rahisi kugundua ni mdudu gani aliyeshambulia kwenye mapafu na baada ya kufanya hivyo wanaweza kupata dawa ya kuweza kutibu hao wadudu Kwa kuangalia kama ni virus, bakteria au wadudu wengine wale.

 

 

 

4.vile vile tunaweza kugundua tatizo hili Kwa kutumia damu Kwa kitaalamu full blood picture, unaweza kukuta seli nyeupe za damu ziko juu sana na kuona kwamba hapa Kuna maambukizi.

 

 

5. Kwa kutumia kifaaa Kwa kitaalamu huitwa stereoscope ili kuweza kusikiliza sauti kwenye mapafu , mgonjwa kama anapumua vibaya ni wazi kwamba Kuna Maji maji au usahaa usio wa kawaida kwenye mapafu.

 

 

 

6. Tunaweza kutumia pia makohozi ili kuweza kutambua rangi yake,kama rangi ni nyeusi moja Kwa moja tunafahamu kwamba ni usaha kwenye mapafu.

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 671


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

IJUWE MINYOO, SABABU ZAKE, ATHARI ZA MINYOO, MATIBABU YAKE NA KUPAMBANA KWAKE
Soma Zaidi...

Dalili za kipindupindu na njia za kujilinda na kipindupindu.
Post hii inazungumzia zaidi kuhusiana na ugonjwa wa kipindupindu.kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu anaitwa vibrio cholera.mdudu huyu hushambulia utumbo mdogo na kusababisha madhara mengi. Soma Zaidi...

Visababishi vya ugonjwa wa Varicose vein
Posti hii inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya ugonjwa wa vericose veini, ni visababishi mbalimbali ambavyo utokea kwenye mtindo wa maisha kama tutakavyoona. Soma Zaidi...

Ujuwe mlo sahihi kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo
Post hii itakwenda kuangalia mlo sahihi wa mwenye vidonda vya tumbo. Hata utajifunza ni vyakula vipi hapaswi kula na vipi ana paswa kula. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo Soma Zaidi...

Sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi
Kiufipi posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi Soma Zaidi...

Sababu za vidonda sugu vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za vidonda vya tumbo sugu Soma Zaidi...

Fahamu Mambo yanayosababisha Ugonjwa wa kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa bakteria ambao kawaida huenezwa kupitia maji machafu. Kipindupindu husababisha Kuhara na Upungufu wa maji mwilini. Ikiachwa bila kutibiwa, Kipindupindu kinaweza kusababisha kifo kwa muda wa saa chache, hata kwa watu walioku Soma Zaidi...

Dalili za maambukizi kwenye milija(fallopian tube)
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye milija (follapian tube) kwa kitaalamu huitwa salpingitis, ni maambukizi kwenye milija ambayo husababishwa na bakteria. Soma Zaidi...

Vyanzo vya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo vya minyoo Soma Zaidi...

Maambukizi ya tishu ya Matiti.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na maambukizi ya tishu ya matiti ambayo husababisha maumivu ya matiti, uvimbe, joto na uwekundu. Pia unaweza kuwa na Homa na baridi. Ugonjwa huu huwapata zaidi wanawake wanaonyonyesha ingawa wakati mwingine hali hi Soma Zaidi...

Dalili za hatari kwa mtoto aliyezaliwa
Posti hii inahusu zaidi dalili za hatari kwa mtoto aliyezaliwa, ni dalili ambazo ujitokeza tu mtoto anapozaliwa kwa hiyo dalili hizi zinapaswa kuzuiwa ili zisilete madhara makubwa. Soma Zaidi...