Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kupunguza ugonjwa wa pressure au shinikizo la damu kwa waliokwisha kupata wanaweza kupunguza na kwa wake ambao hawajapata ni nzuri inawasaidia kuepuka hatari ya kupata ppresha.
1. Kwanza kabisa ni lazima kujua presha Yako ikoje kama Iko juu, chini au kawaida, kwa kawaida presha ya juuu upaswa kuwaanzia mia ishilini mpaka mia arobaini na presha ya chini kwa kawaida uanzia sitini mpaka tisini, kwa hiyo kwa upande wa presha ya juuu ni pale damu inaposukumwa kutoka kwenye moyo na kwenda kwenye sehemu mbalimbali za mwili na presha ya chini ni pale damu inapotoka kwenye sehemu mbalimbali za mwili na kuingia kwenye moyo kwa kupitia kwenye ventriko ya kushoto.kwa hiyo presha ya juu ikizidi mia arobaini sio hali ya kawaida labda Kuna tukio au ni ugonjwa na ya chini haipaswi kuzidi sitini.
2. Pia Ili kupunguza ugonjwa wa pressure ni vizuri kabisa kupunguza msongo wa mawazo kwa sababu ya kuwepo kwa msongo wa mawazo usababisha mwili kuzalisha homoni ambayo uhitwa adrenaline homoni kazi yake ni kufanya mishipa kusinyaa hali inayosababisha presha kuwa juu kwa sababu ya kuzalishwa kwa adrenaline homoni, kwa hiyo ni vizuri kabisa kukabiliana na changamoto za maisha na kujifunza namna ya kucontrol streets.
3. Kupunguza uzito.
Kwa kawaida uzito ukiongezeka ni shida tu kwa sababu function mbalimbali kwenye mwili huwa hazifanyi kazi vizuri.
4. Kufanya mazoezi.
Pia na mazoezi ni mazuri sana kwenye kupunguza ugonjwa wa pressure kwa sababu mtu akifanya mazoezi usaidia mishipa kulainika na kufanya kazi vizuri.
5. Kwa mgonjwa wa pressure epuka chakula chenye chumvi kwa sababu chumvi kwa sababu kila siku mtu mmoja anapaswa kutumia mia tano .
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1300
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya
👉2 kitabu cha Simulizi
👉3 Madrasa kiganjani
👉4 Kitau cha Fiqh
👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
nina maambukizi ya zinaha maumivu wakati wa kukojoa na usaha
Mimi nilifanya ngono isiyo salama Tar 14/07 mwaka huu, nilikutana tu na mwanamke ambae sikuwa hata na background yake yoyote hivyo baada ya siku tatu nilijikuta nina maambukizi ya zinaha (maumivu wakati wa kukojoa na usaha), hivyo nilienda hospital na kup Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa kisonono
Kisonono ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria wa zinaa ambao wanaweza kuwaambukiza wanaume na wanawake. Kisonono mara nyingi huathiri urethra, puru au koo. Kwa wanawake, ugonjwa wa kisonono unaweza pia kuambukiza kizazi. Soma Zaidi...
Tatizo la damu kutokufikia tishu baada ya kutokea jeraha kwenye tishu (gangrene)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la damu kutokufikia tishu baada ya kutokea jeraha kwenye tishu ambao hujulikana Kama gangrene inahusu kifo cha tishu za mwili kutokana na ukosefu wa mtiririko wa damu au maambukizi ya bakteria. Ugonjwa wa gangre Soma Zaidi...
Matatozo katika choo kidogo, maradhi ya figo na dalili zake pia namna ya kujikinga na madhradhi ya figo
MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA FIGOFigo ni kiungo muhimu sana katika uchujaji wa mkojo, na afya ya mfumo wa utoaji taka mwili. Soma Zaidi...
Kupambana na kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na kisukari Soma Zaidi...
Je mtu akapima ukimwi na kile kipimo kidogo .je kina usahihi au la ..na pia kama inaonyesha mistari miwili.
Hivi umeshawahi kuwazakuwa jekipimo cha HIV ni sahihi kwa kiasi gani. Unadhani huwa kinakoseaga kutoa majibu? Soma Zaidi...
Sababu za Kuvimba kwa kope.
Post hii inazungumzia kuhusiana na Sababu zinazopelekea kuvimba kwa kope, kawaida huhusisha sehemu ya kope ambapo kope hukua na kuathiri kope zote mbili. Pia hutokea wakati tezi ndogo za mafuta ziko karibu na msingi wa kope huziba. Hii inasababisha kuw Soma Zaidi...
Njia za kuzuia ugonjwa wa kisonono
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo utumiwa Ili kuweza kuzuia kuwepo ugonjwa wa kisonono, kwa kufuata njia hizi ugonjwa huu wa kisonono unaweza kupungua kwa kiasi au kuisha kabisa. Soma Zaidi...
Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ambao kwa kitaalamu huitwa Dementia ugonjwa huu uwapata wale ambao umri umekwenda lakini kwa wakati mwingine Usababishwa na vitu mbalimbali kama tutakavyoona. Soma Zaidi...
Sababu za mngurumo wa moyo
Mngurumo wa moyo ni sauti wakati wa mzunguko wa mapigo ya moyo wako kama vile kutetemeka inayotolewa na damu yenye msukosuko ndani au karibu na moyo wako. Sauti hizi zinaweza kusikika na kifaa kinachojulikana kama stethoscope. Mapigo ya moyo ya kawaida Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa kaswende
Post hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa kaswende kwa wajawazito, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa watu wote, kwa sababu ugonjwa huu una dalili ambazo upitia kwa hatua mbalimbali kama tutakavyoona. Soma Zaidi...
Ugonjwa wa pepopunda kwa watoto
Pepopunda ni ugonjwa hatari wa kutishia maisha unaosababishwa na sumu inayojulikana Kama tetanospasmin inayotolewa kwenye majeraha yaliyoambukizwa. Bakteria ya pepopunda huingia kwenye mwili wa mtoto mchanga kupitia kisiki cha kitovu ambacho kimekatwa na Soma Zaidi...