image

Njia za kusambaa kwa ugonjwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine

Posti hii inahusu zaidi jinsi magonjwa yanavyosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

Jinsi magonjwa yanavyosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

1. Kwa kawaida magonjwa usambaa kwa njia kuu mbili yaani njia ya Moja kwa Moja ambayo kwa kitaalamu huitwa direct transmission ambapo unaweza kusambaa ugonjwa kwa kubusiana, kujamiiana na kugusana ambapo ugonjwa uenda Moja kwa Moja kwa mwingine. Pia Kuna njia nyingine ambayo siyo ya Moja kwa Moja ambapo huwezi kuambukiza ugonjwa Moja kwa Moja mpaka upitie kwa kitu ambapo njia huyo huitwa inderect transmission na hiyo njia imegawanyika  kama ifuatavyo.

 

2.ugonjwa unaweza kusambazwa na wadudu ambapo kwa kitaalamu huitwa vector transmission ambapo mdudu haingizi ugonjwa Moja kwa Moja kwenda mwili Ili kuonyesha maambukizi Bali upitia kwenye hatua Moja kwenda kwa mwingine, kwa mfano mdudu anayeeneza malaria kwa kawaida uingia kwenye Damu na baadae malaria upatikana kwa hiyo ugonjwa umepitia kwenye mdudu ndo maana tunaita siyo Moja kwa Moja.

 

3. Pia ugonjwa mwingine upitia kwenye maji maji ambapo kwa kitaalamu huitwa droplt, utokea pale mtu akipiga chafya au kukohoa .

 

4. Njia nyingine ni kupitia kwenye maumivu ambayo kwa kitaalamu huitwa Airborne disease ambapo wadudu utoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya vumbi.

 

5. Pengine ugonjwa upitia katika vitu ambayo vimechafuliwa au sio visafi kwa kitaalamu huitwa vehicle mode of transmission kwa mfano kumwekea mtu dawa yenye virus vya ukimwi au virus vya homa ya inn bila kupima kwa hiyo wadudu wanaweza kusambaa kwa mtindo huo           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/21/Saturday - 06:06:39 am Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 678


Sponsored links
๐Ÿ‘‰1 Madrasa kiganjani     ๐Ÿ‘‰2 Kitau cha Fiqh     ๐Ÿ‘‰3 kitabu cha Simulizi     ๐Ÿ‘‰4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Nini sababu ya kuchubuka midomo na kuwa myeupe
Kama una tatizo la midomo kuchubuka na kuwa myeupe ama kuwa na vidonda. Post hii inakwenda kuangalia swala hili. Soma Zaidi...

Dalili za mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo
Post hii inahusu zaidi dalili za mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo. Soma Zaidi...

Dalili za madhara ya figo
Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo. Soma Zaidi...

Dalili za fangasi ukeni
Post hii inakwenda kukujulisha dalili za kuwa huwenda una fangasi sehemu zako za siri. Soma Zaidi...

Uchunguzi wa kuharisha damu na tiba yake
Posti hii inahusu zaidi uchunguzi wa kuharisha damu na Tiba yake, ni Ugonjwa ambao unaowashambulia sana watoto hasa wenye chini ya umri wa miaka mitano, kwa hiyo huoaugonjwa tunaweza kuutambua na kutibu kwa njia zifuatazo. Soma Zaidi...

Jinsi ya kujikinga na mafua (common cold)
Posti hii inazungumzia dalili na namna ya kujikinga tusipate mafua .mafua kwa jina lingine hujulikana Kama baridi ya kawaida (common cold).baridi ya kawaida husababishwa na virusi kwenye pua na hutoa makamasi. Soma Zaidi...

Namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni
Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni, ni njia zinazotumika kuzuia maambukizi kwenye nephroni Soma Zaidi...

Yaani minasumbuliwa na mgongo kuuma pia kuchoka mgongo na homa zisizo isha
Maumivu ya mgongo yanaweza kuwa ni dalili inayoonyesha tatizo fulani la kiafya ikiwemo magonjwa au majeraha. Soma Zaidi...

Dalili na ishara za ugonjwa sugu was Figo.
ร‚ย Dalili na ishara za ugonjwa sugu wa figo hukua baada ya muda ikiwa uharibifu wa figo unaendelea polepole.ร‚ย  Kupoteza utendakazi wa figo kunaweza kusababisha mrundikano wa majimaji au uchafu wa mwili. Kulingana na jinsi ilivyo kali, upotezaji wa kazi ya Soma Zaidi...

Fahamu ugonjwa wa Varicose vein
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa vericose veini, hili ni tatizo ambalo utokea katika mzunguko wa damu hasa kwenye miguu. Soma Zaidi...

Je fangasi ikikaa kwa muda mrefu bila kutibiwa ina madhara gani?
Je umeshawaho kujiuliza maswali mengi kihusu fangasi?. Huyu hapa ni mmoja katika waulizaji waliopata kuuliza rundo la maswali haya. Soma post hii kuona nini ameuliza Soma Zaidi...

Madhara ya fangasi.
Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi za ukeni kwa kawaida tunajua kubwa fangasi zikiingia kwenye uke usababisha madhara mbalimbali ambayo mengine yanaweza ya kudumu na mengine ya mda kama yametibiwa mapema. Soma Zaidi...