NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAZOMHUSISHA MWANAUME


image


Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango unavyofanya na mwanaume kushiriki, ni njia ambayo umfanye mwanaume awe mhusika hasa wakati wa kujamiiana.


Njia ya uzazi wa mpango unavyofanya na mwanaume aweze kushiriki.

1. Njia ya kukata milija ambaye uruhusu mbegu kupitia kwenye uke kwenda kwenye sehemu ya kutungwa mimba,hii njia nayo umfanye mwanaume kushiriki kwenye kazi ya uzazi wa mpango.hii njia ni Bora zaidi kwa sababu wapenzi ufanya tendo la ndoa bila wasiwasi wa kupata mimba na ufanya kuwepo kwa uaminifu kwa mwanamke na mwanaume. Ila njia hii haizuii maambukizi ya Magonjwa ya ngono na Maambukizi ya virusi vya Ukimwi Bali uzuia mbegu kutoka kwa Baba kwenda kwa Mama.

 

2. Njia ya kumwaga mbegu 

Ni njia ambayo umfanye mwanaume kushiriki kwenye kazi ya uzazi wa mpango ambapo wakati wa kujamiiana mwanaume akisikia tu mbegu zinakua umwaga nje mbegu Ili kuepuka kuziingiza kwa Mama na kusababisha kupata mtoto asiye tarajiwa, njia hii ni nzuri ila Haina uhakika kamili kwa sababu mbegu nyingine zinaweza kutangulia kabla bila kuzisikia au nyingine zinaweza kubaki baada ya Mwanaume kumwaga na kusababisha mimba kutungwa. Hii njia haizuii maambukizi ya Magonjwa ya ngono au maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ni Bora kutumia condom Ili kuzuia mimba zisizotarajiwa.

 

 

3. Kutumia London, ni njia ambazo umfanye mwanaume kushiriki kwenye kazi ya uzazi wa mpango kwa sababu mwanaume Naya uvaa kondomu wakati wa kujamiiana  hii ufanya mbegumbegu za baba kushindwa kuingia kwenye vagina kwa sababu mbegu zote ubaki kwenye  kondomu kwa hiyo Ni vigumu mtu kupata hepatitis.njia hii ni mojawapo ya njia pekee ambayo uzuia magonjwa ya ngono na Ukimwi.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri
Post hii inahusu zaidi tiba na huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri. Soma Zaidi...

image Dawa ya vidonda vya tumbo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

image Dalili za UTI upande wa wanawake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanawake Soma Zaidi...

image Zijuwe athari za vidonda mwilini
Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au vimetibiwa kwa kuchelewa. Soma Zaidi...

image Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji.
Posti hii inahusu zaidi Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji, tukumbuke kuwa mtu aliyefanyiwa upasuaji anakuwa kwenye riski sana ya kupata magonjwa na mambo mengine mbalimbali kwa hiyo kuna dalili zikijitokeza kwa mgonjwa aliyepasuliwa Zinapaswa kufanyiwa utaratibu mapema. Soma Zaidi...

image Vyumba vidogo vidogo kwenye chumba cha upasuaji
Post hii inahusu zaidi juu ya vyumba vidogo vidogo ambavyo Vimo kwenye chumba cha upasuaji, ingawa chumba cha upasuaji ni kimoja ila kuna vyumba vingine vidogo ambavyo vinatumika kwa kazi mbalimbali kama tutakavyoona. Soma Zaidi...

image Mfuno wa damu na makundi manne ya damu na asili yake nani anayepasa kutoa damu?
Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu. Soma Zaidi...

image Maradhi ya macho
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maradhi ya macho,dalili na matibabu yake Soma Zaidi...

image Ufahamu Ugonjwa wa hepatitis B
Hepatitis B Ni maambukizi ya ini ambayo yamekuwa sugu kuanzia mwezi na kuendelea. Soma Zaidi...

image Utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa Soma Zaidi...