Asalaam alaikum.Je matapishi ni hadathi ndogo? Au hayatengui udhu
Waalykum salaam. Matapishi ni najisi Kama ilivyo damu, mlojo, usaha na kinyesi. Lakini hayatengui udhu maana sio hadathi
Jazakaullah kheir. Shukran
Aamin