Kwanini nikimaliza kufanya mapenzi na mume wangu anawashwa sana!!!!!

Kwanini nikimaliza kufanya mapenzi na mume wangu anawashwa sana!!!!!

Habari DoktaNikuulize kituu?

Kwanini nikimaliza kufanya mapenzi na mume wangu anawashwa sana!!!!!

Habari Dokta

Nikuulize kituu?



Namba ya swali 010

Uliza, tafadhali...



Namba ya swali 010

Kwanini nikimaliza kufanya mapenzi na mume wangu anawashwa sana!!!!!



Namba ya swali 010

Je mnatumia kondomu



Namba ya swali 001

kondom hatutumiii



Namba ya swali 001

Kuna maumivu yeyote unapata kama wakati wa kukojoa au kuna mabadiliko yeyite kwenye majimaji ya ukeni



Namba ya swali 001

Hapana sio mimi, anayewashwa ni mumwe wangu



Namba ya swali 001

Aaanha Ok, samahani sikukuelewa vyema hapo mwanzo



Namba ya swali 001

Kuna uwezekano wa mashambulizi ya vijidudu vya maradhi. Mwambie akapime UTI na acheki kama atakuwa na fangasi kwenye ya uume wake. Na ikiwezekana mkapime wote maana huwenda kuna bakteria au fangasi mnabadilishana mnapofanya tendo la ndoa.



Namba ya swali 001

Shukran



Namba ya swali 001

Endelea kuwa pamoja nasi
www.bongoclass.com



Namba ya swali 001

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 3821

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume.

Posti hii inahusu zaidi tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume, ni tatizo ambalo uwakumba baadhi ya wanaume kwa sababu mbalimbali na pia Ugonjwa huu unatibika hasa kwa wale wanaowahi kupata matibabu.

Soma Zaidi...
utaratibu wa lishe kwa Mjamzito, Vyakula anavyopasa kula mjamzito

Ni vyakula gani anapasa kula mjamzito, na utaratibu mzima wa lishe kwa wajawazito

Soma Zaidi...
Faida za uzazi wa mpango kwa jamii

Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa jamii, tunapaswa kujua kuwa uzazi wa mpango ukitumiwa vizuri na jamii nayo inapata faida kwa hiyo zifuatazo ni faida za uzazi wa mpango kwa jamii.

Soma Zaidi...
Sababu za maumivu ya tumbo wakatu wa tendo la ndoa

Jifunze sababu kuu zinazosababisha kuhisi maumivu makali ya tumbo wakati wa kushiriki tendo la ndoa

Soma Zaidi...
Mambo yanayopelekea Mjamzito kutokwa na damu

Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali ambayo yanapelekea Mjamzito kutokwa na damu, hizi ni baadhi ya sababu ambazo usababisha Mjamzito kutokwa na damu.

Soma Zaidi...
Mambo yanayopunguza nguvu za kiume

Posti hii inaelezea kuhusiana na nguvu za kiume zinavyopungua na Ni Mambo gani yanayofanya zipungue

Soma Zaidi...