Dokta, hujamboNamba ya swali 011

Sijambo, vipi haliNamba ya swali 011

Nzuri nina swaliNamba ya swali 011

Uliza tafadhaliNamba ya swali 011

Je ,mafua yanayojirudia Mara kwa Mara hasa wkati was baridi ,au vumbi likiingia puan chafya haziishi,Hilo nalo ni upungufu wa vitamin c?Namba ya swali 011

Hapana
Ila ni kweli kuwa vitamini c vinasaidia katika kuthibiti mashambulizi ya mara kwa mara mwilini hawa katika kusaidia kutia nguvu kwenye kinga ya mwili.Namba ya swali 011

Ahsante doktaNamba ya swali 011

Karibu tenaNamba ya swali 011