Habari Dokta
Nina maswali mawli Dokta
Yes
Nini dawa ya fangasi na Je ni kwel kwamba fangas huweza kuxababxh upungufu wa nguvu za kiume.
Fangasi hasababishi upungufu wa nguvu za kiume ila wanaweza kufanya usifurahie vyema tendo....... Dawa za fangasi zipo nyingi, inategemea ukubwa wa tatizo na sehemu walipo. Fika kituo cha afya ama duka la dawa,
huchukua mda gn kupona baad ya kuanz kutumia daw na je ukfnya mapnzi na mwanamke wakat una tatizo hli kuna madhara na je zile dawa zina ya nguvu za kiume?
Ipo hivi.....
Kama una fangasi kwenye uume ama sehemu za siri upo uwezekano wa kumuambukiza mwanamke utakayefanya naye mapenzi. Hii inaweza kuwa hatari zaidi maana utakuwa unasambaza maradhi. Kuhusu muda fangasi wanacukuwa muda mchache kupona kama utafuata masharti vyema. Inategemea na ukubwa wa tatizo lakini haiwezi kuchukuwa muda mrefu. Dawa za fangasi hazina nguvu za kiume, na wala haziathiri nguvu za kiume. Hivyo kuwa na amani kabisa pindi unapotumia.
Nimekuelewa
karibu tena