Dokta samahani nina swali langu etiNamba ya swali 013

Uliza tuu, bila samahaniNamba ya swali 013

Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda ganiNamba ya swali 013

Inachukuwa siku moja mpaka 10. Kwa kawaida hasa kwa wanaume ni siku 5 mpaka 10. Hata hivyo inaweza fika mpaka siku 30. Wanawake wanachelewa kupata dalili hizi, karibia asilimia 80 ya wanawake hawapati dalili hizi kwa harakaNamba ya swali 013

Hii haimaanishi kuwa mwanamke hawezi pata dalili mapema, inategemea na afya yake pia ila kundinkubwa la wanawake wanachelewa kupata dalili, na wanazipata ndani ya siku 30. Hata hivyo anaweza pia asipate dalili ila athari ya gonorea ikaendelea kuathiri ndani na hatimaye kupata madhara zaidiNamba ya swali 013

Ahsante doktaNamba ya swali 013