Habari, samahani ninasumbuliwa Sana na mapunye ya kichwani nimetumia dawa takribani miaka 3 ila yanapona Tena baada ya Muda flani yanatokea. Nitumie dawa gani? MsaadaNamba ya swali 015

Pole sanaNamba ya swali 015

Fika kituo cha afya, zungumza na daktari kisha muombe akuandikia dawa za kunywa ama sindanoNamba ya swali 015