Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh. Shukran kwa darsa nzuri zenye kuelimisha hasa katika ndoa ya kiislam. Allah akulipeni kwa hilo. Ninaishi Dodoma. Kama mnatoa msaada kwa vijana na mabint wa kiislam kupata wachumba naomba mnifahamishe In shaa Allah.Namba ya swali 017

Waalykum salaamu warahmatullah wabarakaatuh,Namba ya swali 017

Shukrani kwa mchango wako mzuri. Kwa sasa huduma hiyo hatutoi, ila tutaifikiria kama tutaweza kuidhibiti, na kuifanya bila ya kuwepo athari mbaya.Namba ya swali 017