Nikiwa katika siku zangu siumwi ila tatizo Ni kwamba najisikia kichefu chefu

Nikiwa katika siku zangu siumwi ila tatizo Ni kwamba najisikia kichefu chefu

Nikiwa katika siku zangu siumwi ila tatizo Ni kwamba najisikia kichefu chefu

Dokta



Namba ya swali 000

Naam



Namba ya swali 000

Nikiwa katika siku zangu siumwi ila tatizo Ni kwamba najisikia kichefu chefu hii nayo inasababishwa na nn??



Namba ya swali 000

Hayo ni mabadiliko tu ya homoni, na si tatizo kubwa la kiafya



Namba ya swali 000

Swa ahsante



Namba ya swali 000

Ok karibu tena



Namba ya swali 000

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2900

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Uvimbe kwenye kizazi (Fibroids): Dalili, ukubwa na tiba yake.

Uvimbe kwenye kizazi, unaojulikana kitaalamu kama Uterine Fibroids au Leiomyomas, ni hali ya kawaida ambapo uvimbe usio wa kansa hukua kwenye misuli ya mji wa mimba. Hali hii huwapata wanawake wengi katika umri wa kuzaa. Ingawa uvimbe huu mara nyingi si hatari, unaweza kusababisha usumbufu mkubwa na changamoto za uzazi. Makala hii inaangazia sifa za uvimbe huu, jinsi ya kuutambua, na mbinu za matibabu

Soma Zaidi...
Hiv n kweli majivu hutoa mimb ya siku moja hadi wiki moja

Inashangaza sana, wakati wengine wanahangaika kutafutavijauzito kwa gharama yoyote ile, kuna wengine wanataka kutoa ujauzito kwa gharama yeyote ile. Unadhani njia za kienyeji sa kutoa mimba ni salama?

Soma Zaidi...
Huduma kwa mama mwenye kifafa cha mimba.

Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wajawazito wanaweza kuzipata wakiwa na Dalli au tayari wana kifafa cha mimba.

Soma Zaidi...
Faida za uzazi wa mpango kwa watu wenye ugonjwa wa Ukimwi

Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, ni faida wanazozipata waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi.

Soma Zaidi...
kunauwezekano wa darri ya kchefuchefu ictokee kabsa kwa mjauzito

Kichefuchefu ni moja katika dalili za mimba za mapema, Lucinda je upo uwezekano kwa mwanamke kuwa na ujauzito bila hata ya kuwa na kichefuchefu?

Soma Zaidi...