picha

Najis nina fangasi nawashwa sehem za sili pia korodan zinawaka kama moto pia nahsi kupungukiwa nguvu

Najis nina fangasi nawashwa sehem za sili pia korodan zinawaka kama moto pia nahsi kupungukiwa nguvu

Najis namimi ninafangasi mana kunabaazi ya dalili ulzo sema ninazo nawashwa sehem za sili pia kunawakat korodan zinawaka kama moto pia nahsi kupungukiwa nguvu za kiume naitaji ushauli namatibabu pia



Namba ya swali 018

Ndio... Huweda kweli ua fangasi. hakikisha unavaa nguo kavu na zilizo safi. Fika duka la dawa tumia dawa ukiwa upo safi, pia usivae nguo nyingi na zenye kutia joto. No vyema ukafika kituo cha afya kwa uangalizi zaidi na matibabu ya uhakika.



Namba ya swali 018

Na kuhusu nguvu za kiume



Namba ya swali 018

Fangasi hawaathiri nguvu za kiume, ila wanaweza kukusababisha usifurahie tendo, huwenda wakakuathiri kisaikolojia na ukajikuta unashindwa kumridhisha mwenzio. Jitahidi kutibu fangasi, huwenda ukaona mabadiliko chanya



Namba ya swali 018

Sawa nitafanya hivyo



Namba ya swali 018

Karibu tena



Namba ya swali 018

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 1293

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 web hosting    👉4 kitabu cha Simulizi    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana:

Mbinu za kuzuia na kuepukana na maradhi ya uti wa mgongo

Posti hii inahusu zaidi njia au mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuepukana na tatizo la ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo.

Soma Zaidi...
Aina ya kisukari inayojulikana kama Diabety type 1

Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kisukari Aina ya kwanza ambapo kwa kitaalamu huitwa Diabetes type 1, ni hali ambayo utokea ambapo mwili ushindwa kutengeneza insulini ambayo uweka sukari kwenye hali ya usawa.

Soma Zaidi...
Dalili za maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo

Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo,ni dalili ambazo ujionesha kwa mtu akiwa na shida kwenye utumbo mdogo na tumbo la kawaida.

Soma Zaidi...
Ijuwe saratani ya kibofu cha nyongo

Makala hii inakwenda kukufahamishavkuhusu saratani yavkibifu cha mkojo.

Soma Zaidi...
Matatizo yanayosababisha saratani ya mapafu

Posti hii inaonyesha matatizo yanayosababisha saratani ya mapafu .

Soma Zaidi...
Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake

Soma Zaidi...
Sababu za Maambukizi kwenye mifupa.

Post hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ni Maambukizi ambayo hutokea kwenye mifupa kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha ugonjwa huu.

Soma Zaidi...
Sababu za maumivu ya tumbo

hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo

Soma Zaidi...
Vyanzo vya sumu mwilini.

Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya kuwepo kwa sumu mwilini, kwa sababu kuna wakati mwingine tunapata magonjwa na matatizo mbalimbali ya ki afya tunaangaika huku na huko kumbe sababu kubwa ni kuwepo kwa sumu mwilini na vyanzo vya sumu hiyo ni kama ifuatavy

Soma Zaidi...