Natak kufaham kuwa binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani? Na je anapaswa kula vyakula vya vitamini gniNamba ya swali 019

Hiyo tunaita mpauko na si weupe. Kama ni viganja tunasema vimepauka, ama ngozi imepauka.Namba ya swali 019

Hali hiyo huweza kuashiria upunguvu wa damu. Kula matunda kwa wingi na mboga za majani hali itakaa sawaNamba ya swali 019

sswaNamba ya swali 019

Ukiwa na maoni ama maswali wakati mwingine unakaribishwa sanaNamba ya swali 019